𝐍𝐘𝐎𝐓𝐀 𝐘𝐀𝐓𝐔𝐀 𝐌𝐀𝐍𝐃𝐄𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐉𝐈𝐑
Ugawaji wa kitaifa wa mtaji wa kuanzisha biashara chini ya mradi wa National Youth Opportunities Towards Advancement (NYOTA) umefikia kilele leo katika hafla mbili kubwa zilizofanyika kwa wakati mmoja katika Viwanja vya Mandera na Wajir mtawalia. Katibu Mkuu wa Idara ya Vijana na Uchumi wa Ubunifu, Fikirini Jacobs, aliungana na Rais wa Jamhuri ya Kenya, […]