NYOTA MOMBASA – UKANDA WA PWANI
Katibu Mkuu wa Masuala ya Vijana na Uchumi bunifu , Fikirini Jacobs, alijiunga na Rais Dkt. William Samoei Ruto leo katika Uwanja wa Jomo Kenyatta, Mkomani, Mombasa, wakati wa zoezi la ugawaji wa ruzuku ya kibiashara ya NYOTA yenye thamani ya Shilingi milioni 147 kwa vijana 5,880 kutoka gatuzi la Mombasa, Taita Taveta na Kwale. […]