MRADI WA NYOTA WAFIKA MACHAKOS
Ni siku ya inne katika msururu wa kugawa pesa ya kuanzisha biashar kwa vijana wa kenya ndani ya mradi wa kuinua vijana wa NYOTA. Kikundi kizima cha serakali kikiongozwa na Rais wa jamuhuri Mheshimwa Dkr William Ruto, leo kimetua Machakos katika hafla inayoleta gatuzi tatu za mashariki kusini, zikiwemo Machakos, kitui, na Makueni kutimisha shughuli […]